Mwanzo Mlango 1 (NENO 2014) — Uumbaji & Spoken Audio
Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia. Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.
Scripture Text Preview — Mwanzo Mlango 1 (NENO 2014) — Uumbaji & Spoken Audio
1. Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.
2. Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.
3. Mungu akasema, “Iwe nuru,” ikawa nuru.
4. Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, akatenga nuru na giza.
5. Mungu akaiita ile nuru “Mchana,” na lile giza akaliita “Usiku.” Ikawa jioni, ikawa asubuhi: siku ya kwanza.
Parallel Bible Study, Strong’s Concordance, 24kHz Audio & Offline Vault
Compare this passage side-by-side in up to 4 synchronized columns across NKJV, KJV, BSB, Original Hebrew (WLC), Koine Greek (Textus Receptus), Asante Twi (Twerɛ Kronkron), French, Spanish, German, and 35+ global languages on AduBible.org®. Tap any verse for Strong’s Exhaustive Concordance numbers, Matthew Henry & John Gill commentaries, 24kHz Neural Audio streaming, and 100% offline PWA access.